Breaking


Jumanne, 23 Juni 2026

DKT.NCHIMBI AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA DHARURA SADC

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Serikali wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ Troika) kuhusu hali ya usalama nchini Madagascar na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

 



Mkutano huo, umefanyika kwa njia ya Mtandao tarehe 22 Juni 2026, Makamu wa Rais akiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni: