Breaking


Jumanne, 2 Juni 2026

NAIBU WAZIRI KWAGILWA AIPONGEZA NEMC ELIMU YA MAZINGIRA DODOMA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Reuben Kwagilwa amelipongeza Baraza la Taifa la Hifadhi kwa juhudi kubwa ya kutoa elimu ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira hususani katika maonesho ya wiki ya Mazingira Duniani yanayoendelea Jijini Dodoma 

Naibu Waziri ametoa pongezi hizo alipozuru Banda la NEMC alipokuwa akikagua mabada hayo wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.

Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani kitaifa kwa mwaka huu yamebeba Kaulimbiu isemayo, Dira 2050 Tuwajibike kukijanisha Tanzania ambapo Naibu Waziri aliyazinduliwa maonesho hayo Juni 1 2026 na kutarajiwa kuhitimishwa Juni 5 2026

Hakuna maoni: