Hatimaye Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu kama waziri mkuu wa Uingereza na kiongozi wa chama cha Labour.
Waziri Mkuu huyo anasema kwamba tayari alikuwa amemjuza Mfalme wa taifa hilo mapema leo kuhusu hatua yake.
Tayari, ameitaka Halmashauri Kuu ya Kitaifa ya Chama cha Labour kuweka ratiba na uteuzi wa kiongozi mpya hadi ifikapo Julai 9 mwaka huu,
Amesema hii itamaanisha kuwa kuna kiongozi mpya kabla ya bunge kurejea mwezi Septemba.
Hadi wakati huo, hata hivyo ataendelea kuwa waziri mkuu, anasema.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni