DAR ES SALAAM:
Leo Jumatano, Septemba 2, 2026, ni siku nyingine ya kufuatilia habari mbalimbali zinazoangaziwa na magazeti ya Tanzania.
Katika Meza ya Magazeti ya Madelemo News, tunakuletea muhtasari wa vichwa vya habari vinavyopewa nafasi katika kurasa za mbele za magazeti ya leo, pamoja na baadhi ya taarifa zinazogusa masuala ya kitaifa, uchumi, jamii, michezo na burudani.
Miongoni mwa taarifa zinazozungumziwa leo ni pamoja na mabadiliko ya bei za mafuta nchini, ambapo EWURA imetangaza kushuka kwa bei za petroli na dizeli kwa mwezi Septemba 2026. Bei hizo mpya zinaanza kutumika kuanzia leo saa 6:01 usiku. Aidha, taarifa mbalimbali za kitaifa, michezo na masuala ya kimataifa zinaendelea kupewa nafasi katika vyombo vya habari vya Tanzania.
Tazama picha za magazeti ya leo hapa chini na usome vichwa vya habari vinavyoongoza katika magazeti mbalimbali.
📌 MEZA YA MAGAZETI | JUMATANO, SEPTEMBA 02, 2026
Endelea kufuatilia Madelemo News kwa habari mbalimbali za Tanzania na kimataifa, pamoja na taarifa za michezo, burudani, afya na masuala ya kijamii.


















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni