LADY JAYDEE: TUZO, MAFANIKIO NA UMUHIMU WAKE KATIKA MUZIKI WA BONGO FLEVA
Lilian Madelemo
Novemba 22, 2025
Lady Jaydee, jina lake halisi Judith Wambura Mbibo, ni mmoja wa wasanii wa kike walioweka alama kubwa katika historia ya muziki wa Tanzania ...