Breaking


Jumamosi, 26 Julai 2025

BAADA YA MIAKA 8, HATIMAYE TUMEKUTANA TENA!


Mwanamuziki Mbosso ameshea hisia zake  kupitia instagramu akaunti yake baada ya kukutana na Mwanamuziki mwenzie Aslya waliokuwa wakifanya kazi pamoja kwenye bendi ya Ya Moto chini ya Mkubwa na wanawe, Mbosso ameandika 👇🏽👇🏽

 Imagine Mara ya Mwisho Tumekutana ni Mwaka 2017 na Tumekuwa Tukiwasiliana bila Kuonana .. 

Baada ya Miaka Takribani 8 Jana ndo Tumekutana  tena na Kwa Bahati Mbaya tu Kila Mtu akiwa  Kwenye Mihangaiko Yake yakwenda kutafuta rizki … 

Was Nice To See You My Legendary Brother @aslayisihaka 🤴

Hakuna maoni: