Rais Samia Suluhu Hassan, ni kielelezo cha Umoja, Amani na Mshikamano nchini Tanzania bila ubaguzi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam Edward Mpogolo, wakati anazungumza na waumini wa kiislam kwenye kongamano na kuukaribisha mwaka mpya wa kiislam.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni