Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ni miongoni mwa Wageni wanaoshiriki kwenye uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17, 2025 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mbowe hajaonekana hadharani kwenye shughuli za kisiasa na kijamii tangu alipostaafu na kutangaza anapumzika

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni