Breaking

Jumatano, 9 Julai 2025

MTOTO WA RAIS YUPO SINGLE!!


Hatimaye binti wa rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, Diana Kamuntu, ametangaza kuwa yuko single baada ya kuvunja ndoa yake ya miaka 18.

Diana Kamuntu aliyezaliwa mwaka 1980 ni binti wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, na Janet Museveni, aliolewa na Geoffrey Kamuntu, mfanyabiashara, mnamo 24 Julai 2004 .

Walifanikiwa kupata watoto watatu, wavulana wawili na msichana mmoja, baada ya takribani miaka 18 ya ndoa, ndoa yao kuvunjika kwa kisheria kupitia Decree Nisi mwaka 2022. Diana alikata jina la ukoo “Kamuntu” na kurejea kwa jina lake la uzazi, Diana Museveni Kyaremera .

Hakuna maoni: