Breaking

Alhamisi, 10 Julai 2025

WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA JENGO LA RADIO THERAPY


 Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Julai 10, 2025 akiambatana na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe pamoja na timu kutoka Wizara ya Afya wametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la ‘Radio Therapy’ ambalo litatoa huduma kwa wagonjwa wa Saratani iliyopo katika Hospotali ya Benjamini Mkapa (BMH) Mkoani Dodoma.

Hakuna maoni: