Breaking

Jumanne, 22 Julai 2025

WAZIRI MKUU AWASILI BERALUS KWA ZIARA YA KIKAZI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  Julai 21, 2025 amewasili nchini Belarus kuanza ziara ya kikazi nchini humo.  Kwenye  Uwanja wa Ndege wa Kinsk alipokelewa na Naibu Waziri Mkuu wa Beralus,  Viktor Karankevich. Katika ziara hiyo ameambatana na  Balozi wa  Tanzania Urusi na Belarusi, Frederick Ibrahim Kibuta ,  Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Kazi , Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Cosato Chumi.



Hakuna maoni: