Breaking


Jumanne, 5 Agosti 2025

DC MAYANJA AKIPATA UFAFANUZI KUHUSU MAJUKUMU YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS NANENANE DODOMA

 

Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, Janeth Mayanja akipata ufafanuzi kuhusu majukumu yanayotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kutoka kwa Mkuu wa,Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Ofisi hiyo, Bi. Sarah Kibonde wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika maonesho ya 32 ya kitaifa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi leo Jumatatu Agosti 4, 2025 viwanja vya Nanenane Nzuguni.



Hakuna maoni: