Breaking


Jumamosi, 23 Agosti 2025

DROO YA KOMBE LA DUNIA 2026 KUFANYIKA DESEMBA 5,2025 MAREKANI

RASMI: Droo ya kombe la dunia la FIFA (FIFA World Cup) imepangwa kufanyika Kennedy Center huko Washington DC nchini Marekani siku ya ijumaa ya Desemba 5, 2025 kuanzia majira ya saa saba mchana kwa saa za Afrika Mashariki. 


NB: Michuano ya Kombe la Dunia la mwaka 2026 itafanyika kwenye mataifa matatu (3) ambayo ni Marekani, Canada na Mexico ambao watashirikiana huku zikiwa zimebaki siku 293 ili kuanza kutimua vumbi kwa michuano hiyo mikubwa duniani kwa timu za taifa.

#Anoldmathias255✍🏾

Hakuna maoni: