Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dkt. Fatuma R. Mganga akipata elimu kuhusiana na matumizi sahihi ya chanjo ya Homa ya Mapafu kwa Ng’ombe (CBPP) inayozalishwa na Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kutoka Daktari wa Mifugo Mtafiti wa TVLA Dkt. Isaac Mengele (PhD) alipofanya ziara ya kutembelea banda la TVLA lililopo ndani ya banda jumuishi la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika Nzuguni jijini Dodoma Agosti 2, 2025.
Jumamosi, 2 Agosti 2025
Home
/
HABARI
/
KATIBU TAWALA SINGIDA DKT. FATUMA MGANGA AKIPATA ELIMU YA MATUMIZI YA CHANJO YA CBPP KWA NG’OMBE NANENANE DODOMA
KATIBU TAWALA SINGIDA DKT. FATUMA MGANGA AKIPATA ELIMU YA MATUMIZI YA CHANJO YA CBPP KWA NG’OMBE NANENANE DODOMA
Tags
# HABARI
About Madelemo News
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead.[Read Analysis] Contact Us madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
HABARI
Labels:
HABARI
Independent Journalism. In-Depth Analysis. Trusted Reporting. Madelemo News is your go-to digital media platform for comprehensive news, insightful analysis, and stories you can trust. Stay informed, stay ahead. [Read Analysis] Contact Us @madelemonews@gmail.com +255 714 195 999
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni