Breaking


Jumatatu, 4 Agosti 2025

MAELEKEZO YA e-MISITU APP YATOLEWA KWA WANANCHI KWENYE BANDA LA TFS


 Mwananchi akipata maelekezo ya moja kwa moja kuhusu jinsi ya kupakua na kutumia programu tumishi ya e-Misitu App kutoka kwa mtoa huduma wa TFS, katika banda la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwenye Maonyesho ya Nanenane, mkoani Morogoro.

🌿 e-Misitu App ni suluhisho la kidijitali linalowezesha huduma za misitu kufikiwa kwa urahisi, uwazi na kwa wakati – ikiwa ni sehemu ya mageuzi ya teknolojia katika sekta ya maliasili na utalii wa misitu nchini.


#eMisituApp #TFS2025 #Nanenane2025 #DigitalForestry #MazingiraKwanza #TanzaniaYaKidijitali #HudumaMtandaoni

Hakuna maoni: