Breaking


Jumanne, 5 Agosti 2025

MASAUNI ASHINDA KURA ZA MAONI JIMBO LA KIKWAJUNI KWA ASILIMIA 84

 

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ameibuka mshindi wa kura za maoni za Ubunge ndani ya CCM katika jimbo hilo kwa kupata 84.3% ya kura halali 937 zilizopigwa Agosti 4,2025 huku kura 15 zikiharibika.

Hakuna maoni: