Breaking


Jumapili, 31 Agosti 2025

TAZAMA PICHA 11 ZA RAIS SAMIA AKIOMBA KURA CHEMBA

 













Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akinadi na Kuomba Kura kwa Wananchi wa Chemba Mkoani Dodoma waliofurika Barabarani wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo August 31,2025.

Hakuna maoni: