Breaking


Jumanne, 12 Agosti 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE: MAN CITY WAMUWINDA RODRYGO

 

Manchester City wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 24 Rodrygo, ambaye thamani yake ni pauni milioni 87. (Fabrizio Romano) 

Nottingham Forest wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua kiungo wa kati wa Manchester City James McAtee, 22. (Subscription requires) 

Chelsea na RB Leipzig wamemjadili mshambuliaji wa Ufaransa Christopher Nkunku, 27, wakati wa mazungumzo kuhusu mshambuliaji wa Uholanzi Xavi Simons, 22. (Talksport)

Hakuna maoni: