Breaking

Jumatatu, 8 Septemba 2025

DKT. MPANGO AKIPANDA MTI KABLA YA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI AFRIKA, ADDIS ABABA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti nje ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.

Hakuna maoni: