Breaking


Jumamosi, 13 Septemba 2025

DKT MWINYI AWASILI VIWANJA VYA MNAZI MMOJA






Mgombea urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili viwanja vya Mnazi Mmoja katika tukio la uzinduzi wa kampeni ya urais wa Zanzibar ambapo ameambatana na mke wake Mama Mariam Mwinyi.

Hakuna maoni: