Breaking


Jumamosi, 13 Septemba 2025

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI: EVERTON WANA MATUMAINI YA KUMSAJILI GREALISH

 

Everton wana matumaini ya kumsajili Jack Grealish wa Manchester City kwa chini ya pauni milioni 50, Manchester United, Liverpool na Chelsea wanamfukuzia Adam Wharton wa Crystal Palace, huku Fulham wakifikiria mustakabali wa Harry Wilson.

Everton wana matumaini ya kumsajili winga wa Uingereza Jack Grealish kutoka Manchester City kwa dau la chini ya pauni milioni 50 walizokubaliana kama sehemu ya mkataba wa mkopo wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 na The Toffees. (Telegraph - subscription required)




#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni: