Breaking

Alhamisi, 11 Septemba 2025

HABARI PICHA:RAIS DKT. SAMIA MKOANI TABORA






 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na kuomba kura kwa umati wa Wananchi wa eneo la Ilolangulu, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 11,2025.

Hakuna maoni: