Breaking


Ijumaa, 12 Septemba 2025

MASHABIKI WA YANGA WAJITOKEZA KWA WINGI KILELE CHA SIKU YA MWANANCHI


 Mashabiki wa Yanga wamejitokeza Kwa Wingi Katika Kilele cha Wiki ya Mwananchi.


Leo yanga Wanatarajia Kutambulisha Wachezaji wao Wote waliowasajili kwa ajili ya Msimu wa Mashindano wa 2025/26



Kilele cha Wiki ya Mwananchi Kitamalizwa kwa Mchezo wa Kirafiki wa akimataifa Dhidi ya Bandari Fc Kutoka Kenya.


#AnaseliMacha✍🏾

Hakuna maoni: