Mkurungezi wa Idara ya Vihatarishi na Ufuatiliaji kutoka Mamlaka ya MapatoTanzania (TRA), Bi. Anette Magogo tarehe 1 Septemba, 2025 amezindua mafunzo ya awali ya matumizi ya Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) kwa Machampioni wa Usimamizi wa Mabadiliko kwa lengo la kuongeza ufanisi wa huduma kwa walipakodi. Uzinduzi huo umefanyika le mkoani Morogoro ukihudhuriwa na wadau wa maendeleo kutoka Mamlaka ya Mapato nchini Ufini (Finland).




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni