Breaking


Alhamisi, 4 Septemba 2025

WANA MBEYA HII SASA SIFA

Maelfu ya wakazi wa Mbeya wamejitokeza kwa wingi kusikiliza sera na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),kupitia mgombea wake wa Urais,Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Mkutano wa kampeni unafanyika katika uwanja wa ndege wa zamani uliopo Mbeya Mjini.

Wananchi hao wamesikika wakisema Octoba Tunatiki wakiridhishwa na kazi ambayo Rais Samia ameifanya katika Mkoa wa Mbeya.

Mkutano huo unafanyika baada ya kukamilika kwa mkutano katika uwanja wa  Mlima Reli Mbalizi Mkoani Mbeya.

Hakuna maoni: