Mimi Eng. Kundo Andrea Mathew, Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Bariadi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) 🟢💛
*Nakuomba unipe kura yako ifikapo Oktoba 29, ili kwa pamoja tuipeleke Bariadi Mjini kwenye hatua mpya ya maendeleo!*
*Kazi na Utu, Tunasonga Mbele* đź’Ş
Pamoja, tutajenga Bariadi yenye neema, kasi na matokeo chanya kwa kila mwananchi.
🟢 Kura yako kwa CCM ni kura ya maendeleo!
đź—ł️ Chagua Eng. Kundo Andrea Mathew – Mbunge wako wa kazi na matokeo.
#KaziIendelee #BariadiKwanza #CCM #UshindiKwaKishindo đź’›

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni