Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), leo tarehe 17 Oktoba 2025, ameshiriki Mkutano wa Makundi Maalum ya Wajasiriamali Mkoa wa Dar es Salaam, aliowataka kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan ifikapo Oktoba 29, 2025, ili aendelee kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025–2030.
Katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa, Chatanda amepongeza uongozi wa Dkt. Samia kwa mafanikio makubwa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ya kimkakati, nchini tanzania.










Hakuna maoni:
Chapisha Maoni