Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni arobaini na tano (15,000,000/=) kwa timu ya singinda Blackstars kama zawadi ya “Goli la Mama” kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Zawadi hiyo imetolewa kama pongezi kwa Singida blackstars baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Plambeau Fc ya nchini Burundi katika mchezo wa marudiano wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika (CAF Confederation Cup), uliochezwa Chamanzi jijini Dar es Salaam.
#Official-Isharoja✍🏾



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni