Breaking

Ijumaa, 3 Oktoba 2025

HII "SEND OFF"YA ARUSHA NI NOMA


Wananchi wa Wilaya ya Karatu wamedhamiria kumuaga kwa heshima Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM),Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan,anayehitimisha mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Arusha.

Ni majira ya asubuhi lakini uwanja wa Mnadani umejaa watu pomoni kwa kazi moja tu ya kumuaga Dkt.Samia.

Dkt.Samia anatarajiwa kuagwa leo Octoba 3,2025,baada ya kufanya mikutano Usariver,Arusha Mjini na anahitimisha Karatu.





Baada ya kutoka Arusha,uelekeo wa Rais Samia ni Mkoa wa Manyara ambapo atafanya mkutano wa kwanza wilaya ya Hanang Kata ya Katesh.

Hakuna maoni: