Liverpool inafikiria kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana Antoine Semenyo, 25, msimu wa uhamisho wa wachezaji Januari mwakani. (i Paper - usajili unahitajika)
Kiungo wa kati wa Nottingham Forest na England Elliot Anderson, 22, ananyatiwa na Manchester United. (Mirror)
Mshambulizi wa Brazil Endrick yuko tayari kuondoka Real Madrid mwezi Januari, huku wawakilishi wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 wakiwa mbioni kukamilisha uhamisho wake wa malipo. (ESPN)
#ChanzoBbcswahili

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni