Breaking

Jumanne, 14 Oktoba 2025

WAZIRI MKUU MAJALIWA AUNGANA NA MAKAMU WA RAIS KATIKA IBADA YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA NYERERE MBEYA

 

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 14, 2025 ameshiriki katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francisko wa Asizi, Mwanjelwa Mkoani Mbeya. 

Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango pia ameshiriki katika ibada hiyo.

Ibada hiyo imeongozwa na Akofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga.

Hakuna maoni: