Breaking

Jumatatu, 24 Novemba 2025

VIWANGO VYA KUBADILISHA FEDHA LEO JUMATATU 24 NOVEMBA 2025


Bank Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa viwango rejea vya kubadilisha fedha kwa tarehe 24 Novemba 2025.


Kwa upande wa Dola ya Marekani, kununua ni shilingi 2,412.77 na kuuza ni 2,436.90.

Pauni ya Uingereza imenunuliwa kwa 3,157.84 na kuuzwa kwa 3,189.41, huku Euro ikinunuliwa kwa 2,779.75 na kuuzwa kwa 2,807.55.


Fedha nyingine ni pamoja na Yuan ya China, ambayo imenunuliwa kwa 339.35 na kuuzwa kwa 342.74, na Yen ya Japan iliyosimama kwenye 15.39 kununua na 15.54 kuuza.

Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa 139.13 na kuuzwa kwa 140.52, huku Shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa 18.62 na kuuzwa kwa 18.80.


Kwa upande wa nchi jirani, Franc ya Rwanda iko kwenye 1.65 kwa kununua, Shilingi ya Uganda 0.66 kununua na 0.67 kuuza, na Faranga ya Burundi 0.81 kununua na 0.82 kuuza.


Katika masoko ya madini, bei ya dhahabu kwa wakia moja ya Troy imefikia shilingi 9,843,724.85 kwa kununua na 9,942,162.10 kwa kuuza.


Hakuna maoni: