Bank Kuu ya Tanzania imetoa viwango vya kubadilisha fedha kwa tarehe 26 Novemba 2025.
Dola ya Marekani inanunuliwa kwa shilingi 2,420 na kuuzwa kwa shilingi 2,444.
Poundi ya Uingereza 3,181 kununua na 3,213 kuuza.
Euro 2,795 kununua na 2,823 kuuza.
Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 341 na kuuzwa kwa shilingi 344, huku Yen ya Japan ikiuzwa kati ya shilingi 15.49 na 15.64.
Sarafu za ukanda wa Afrika Mashariki ziko kati ya shilingi 0.66 hadi 18.82 kutegemea nchi husika.
Kwa upande wa dhahabu, wakia moja inanunuliwa kwa shilingi milioni 10.03 na kuuzwa kwa shilingi milioni 10.13.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni