Breaking


Jumanne, 30 Desemba 2025

INDICATIVE EXCHANGE RATES 30-12-2025


 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni kwa tarehe 30 Disemba 2025, vikionesha mwenendo wa thamani ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya sarafu mbalimbali za kimataifa na kikanda.


Kwa mujibu wa taarifa hiyo, viwango hivi hutumika kama rejea kwa taasisi za fedha, wafanyabiashara na wananchi katika kufanya miamala ya kubadilisha fedha.


Hakuna maoni: