Breaking


Alhamisi, 25 Desemba 2025

๐ŸŽ„ MADELEMO NEWS INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA KRIMASI ๐ŸŽ„


Uongozi na timu nzima ya Madelemo News tunawatakia wasomaji wetu wote Heri ya Sikukuu ya Krimasi iliyojaa amani, upendo na baraka tele. Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini na kufuatilia habari zetu kila siku.


Krimasi hii iwe fursa ya kusherehekea mshikamano, kushirikiana na kuwajali wengine, huku tukitafakari mema ya mwaka uliopita na kuweka matumaini mapya kwa mwaka unaokuja.


๐ŸŽ Krimasi Njema na Mwaka Mpya wenye mafanikio kutoka Madelemo News.


Hakuna maoni: