Karibu kwenye Meza ya Magazeti ya leo Alhamisi, Desemba 11, 2025, tukikuchazia kwa ufupi habari kubwa zilizobebwa katika kurasa za mbele za magazeti nchini.
MWANA SPOTI
Gazeti la michezo limeibeba vichwa vya habari vinavyogusa vilabu vikubwa nchini, likiwemo:
- Watatu Simba Ngoma Nzito – Mada kuu ikionyesha hali ndani ya kikosi cha Simba kuelekea mechi zilizopo mbele.
- Habari nyingine zikiwemo usajili, matokeo ya mechi na taarifa mbalimbali za mastaa wa soka.
MWANANCHI
Gazeti la Mwananchi leo limeangazia:
- Kujifungia Ndani Mwiba Kiuchumi – Tahariri kuu kuhusu athari kwa uchumi na biashara kutokana na matukio ya kufungia watu ndani bila kufuata taratibu.
- Pia limegusia matukio ya utekaji yaliyoitikisa 2025 na taarifa za uwekezaji ikiwemo mradi wa mwekezaji wa Tanzania nchini Zambia.
Endelea kutembelea blog yetu kwa taarifa zaidi na uchambuzi wa kina kuhusu kinachoendelea nchini na duniani.



















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni