Breaking

Alhamisi, 4 Desemba 2025

NAIBU KAMISHNA MKUU WA TRA ASHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA UANDAAJI WA MAHESABU ZINAZOTOLEWA NA NBAA

 



Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Mcha Hassan Mcha akiwa na baadhi ya Viongozi wa TRA pamoja Watumishi wa TRA leo 4 Desemba, 2025 katika hafla ya utoazi tuzo za Uandaaji wa Mahesabu ambazo hutolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA). Hafla hiyo inafanyika leo katika viwanja vya NBAA Bunju jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni: