Timu ya Taifa ya wasichana U15 imeandika historia baada ya kushinda Mashindano ya CAF African Schools Football Championships – CECAFA Qualifiers 2025, yaliyofanyika nchini Uganda
Tanzania waliibuka mabingwa kwa penati (5-4) dhidi ya Timu ya Taifa ya Ethiopia, matokeo yaliyowapa ubingwa wa mashindano hayo ya ukanda wa CECAFA. Ushindi huu unatambulisha Tanzania kama moja ya nguvu mpya za mpira wa miguu kwa shule katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni