Breaking

Jumanne, 9 Desemba 2025

KIKOSI CHA WACHEZAJI WATAKAOCHEZA AFCON 2025

 


Rasmi hiki ni kikosi kitakachoiwakilisha nchi katika Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Kikosi hiki kimetajwa kikiwa na mchanganyiko wa wachezaji wenye uzoefu mkubwa pamoja na vipaji vipya vilivyoonyesha ubora msimu huu.


Hakuna maoni: