Breaking

Ijumaa, 5 Desemba 2025

TPA YAIBUKA KINARA TUZO ZA NBAA KWA MASHIRIKA YA UMMA

 

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Plasduce Mbossa (kushoto) akipokea tuzo ya ushindi wa kwanza ya umahiri katika uandaaji bora wa hesabu za fedha kupitia NBAA kwa mashirika ya Umma, kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Naibu Waziri wa Fedha, Laurent Luswetula, katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni: