Mamlaka ya Hali ya Hewa imetoa angalizo la uwepo wa vipindi vifupi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa kujitokeza katika maeneo machache ya baadhi ya mikoa nchini. Wananchi wanashauriwa kuchukua tahadhari stahiki, hususan katika maeneo yenye miinuko, mabonde na maeneo yanayokumbwa mara kwa mara na mafuriko.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni