Karibu katika Meza ya Magazeti ya leo Jumapili, Januari 11, 2026, ambapo tunakuletea muhtasari wa vichwa vikuu vya habari vilivyoandikwa na magazeti mbalimbali ya ndani na kimataifa.
Katika toleo la leo, magazeti mengi yamejikita kwenye masuala ya siasa, uchumi, usalama, michezo, pamoja na matukio ya kijamii yanayoendelea nchini na nje ya mipaka ya Tanzania.
Endelea kutufuatilia kupitia Madelemo News kwa uchambuzi wa kina na taarifa sahihi zinazokusaidia kufahamu kwa mapana kinachoendelea duniani.
📌 Soma, elewa na uendelee kuwa na habari sahihi.












Hakuna maoni:
Chapisha Maoni