Breaking


Jumanne, 17 Februari 2026

BALOZI DK. KUSILUKA AZINDUA KIKAO KAZI CHA 6 SERIKALI MTANDAO

Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, amezindua rasmi Leo Kikao Kazi cha 6 cha Serikali Mtandao katika ukumbi wa Arusha International Conference Centre (AICC), akisisitiza umuhimu wa kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa huduma za umma.

Mkutano huo umefunguliwa leo na unawakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya umma na binafsi, ukilenga kujadili masuala ya maboresho ya mifumo ya kidijitali, usalama wa taarifa pamoja na kuongeza ufanisi wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao.

Hakuna maoni: