Breaking


Jumamosi, 28 Februari 2026

DKT. EMMANUEL NCHIMBI AHUDHURIA MISA YA MAZISHI YA KARDINALI PENGO







Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaBalozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Kanisa la Hija ya Bikira Maria - Pugu Jijini Dar es Salaam, ambapo anaungana na waombolezaji kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Tarehe 28 Februari 2026. 

Hakuna maoni: