Breaking


Ijumaa, 6 Februari 2026

RAIS SAMIA AMTEUA BALOZI RAJAB SALUM KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA


Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Waziri Rajab Salum kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Dkt Hashil Twaib Abdallah ambaye atapangiwa majukumu mengine.

Uteuzi huo umetangazwa leo Februari 06 katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Hakuna maoni: