Breaking


Jumapili, 8 Februari 2026

YANGA YAFUNGWA MOROCCO, HESABU ZA VIDOLE YAANZA

Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wake muhimu dhidi ya AS FAR kwa bao moja kwa sifuri na kuwaweka katika nafasi finyu ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Kufungwa Kwa Yanga katika mchezo huo itawafanya wasubiri hadi mchezo dhidi ya JS Kybylie ambapo itawabidi washinde kwa idadi kubwa ya magoli huku wakiomba AS FAR wapoteze dhidi ya Al Ahly katika mchezo utakaopigwa Misri.

Msimamo wa kundi kwa sasa Ahly anaongoza kwa alama tisa, huku AS FAR wakiwa na alama nane, Yanga wao wana alama tano na JS Kabylie wakiwa na alama tatu.

Hakuna maoni: