Breaking


Ijumaa, 6 Machi 2026

DRFA YAKABIDHI VIFAA KWA TIMU ZINAZOKWENDA RCL 2026.


Mjumbe kamati tendaji chama cha soka mkoa wa Dar es salaam (DRFA)   na mwenyekiti wa chama cha soka wilaya ya ilala Kondo Dako, Leo amekabidhi vifaa vya michezo Kwa timu tatu za mkoa wa Dar es salaam zinazokwenda kushiriki Michuano ya ligi ya mabingwa wa  mikoa ( RCL 2026) itakayoanza kutimua vumbi march 13, timu hizo ni Mshikamano FC, Dira FC na Friends rangers.


Ligi hiyo itafanyika Katika vituo vinne vya Kigoma, Geita, Manyara na Pwani.

Hakuna maoni: