Breaking


Jumamosi, 14 Machi 2026

MCHEZO WA TRA UNITED DHIDI YA SIMBA WAHAIRISHWA KUTOKANA NA UWANJA KUJAA MAJI

 

Mchezo wa ligi kuu ya Nbc kati ya TRA United umeahirishwa kutokana na changamoto ya mvua kubwa iliyonyesha Arusha,Baada ya waamuzi na maofisa wa mchezo kukaguwa uwanja Kamisaa wa mchezo akatangaza mchezo umeahirisha baada ya kikao kufanyika.

Hakuna maoni: