Breaking


Jumatatu, 6 Aprili 2026

MEZA YA MAGAZETI LEO – APRILI 06, 2026



Leo Aprili 06, 2026, tunakuletea muhtasari wa vichwa vikuu vya magazeti mbalimbali yanayoongoza hapa nchini, yakigusa masuala ya siasa, uchumi, michezo pamoja na matukio ya kijamii.









Katika toleo la leo, magazeti mengi yamejikita katika masuala ya maendeleo ya kiuchumi, utekelezaji wa miradi ya kimkakati pamoja na mjadala wa kisiasa unaoendelea nchini. 




Aidha, habari za michezo zimepewa nafasi kubwa zikielezea matokeo ya mechi mbalimbali pamoja na tetesi za usajili ndani na nje ya nchi.








Endelea kufuatilia Madelemo News kwa uchambuzi wa kina na taarifa sahihi zaidi kuhusu kila kilichojiri kwenye kurasa za mbele za magazeti haya.


Hakuna maoni: