Breaking


Ijumaa, 17 Aprili 2026

NDEJEMBI ASHIRIKI MIKUTANO YA KIPUPWE YA BENKI YA DUNIA NA IMF

 

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, akisalimiana na Waziri wa Fedha,Balozi Khamis Mussa Omar, katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini Washington, D.C., Marekani.

Mawaziri hao wanashiriki Mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na IMF (World Bank–IMF Spring Meetings 2026) inayoendelea jijini humo kuanzia April 13 hadi 18, 2026.

Hakuna maoni: